________

Welcome Note

Karibu Ewura CCC

Tunakukaribisha kwenye tovuti yetu mpya. Tunafurahi umetembelea tovuti hii, ambayo tunaendelea kuiboresha kadiri siku zinavyosonga, lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa, inakuwa Kitovu cha taarifa zote muhimu zinazomhusu Mtumiaji wa Huduma za Maji na Nishati kwa upande mmoja, na kukupati wewe msomaji taarifa zinazolihusu Baraza kwa upande mwingine...more »

HAKI NA WAJIBU

Fahamu Haki na Wajibu Wa Mtumia Huduma

Ili kuwepo na ufanisi katika utoaji wa huduma za maji na nishati, ni sharti mtumiaji awe na uelewa
wa haki zake kwenye huduma anayopewa.. more »

MALALAMIKO

Mchakato wa Kushughulikia malalamiko

Baraza linatambua kuwa kila tatizo unalokuwa nalo la huduma ya nishati na maji ni nyeti na linahitaji ufumbuzi.more »

Ushiriki wa Watumiaji

Ushauri

Baraza linawashauri watumiaji kuzitumia kikamilifu kamati za Baraza za kimkoa katika maeneo yao kwa lengo la kujadili mwenendo wa huduma zinazotolewa katika maeneo husika ikiwa ni pamoja na kuwasilisha malalamiko yanayohusu huduma kwenye kitengo cha huduma kwa wateja cha EWURA kwa ajili ya kupatiwa suluhu. Aidha watumiaji walitumie Baraza kushauriana mara kwa mara kuhusu mambo
yanayowahusu kwa kupitia barua, simu na hata barua pepe.

Baraza pia linawahimiza watumiaji wa huduma za maji na nishati kushiriki katika maswala yanayowahusu,kwa mfano kuhudhuria vikao vya Taftishi kila wakati vinapongangazwa na kushiriki pia kwa maandishi kuhusu suala ama ajenda husika

Habari na Matukio

Taarifa


Prof. Katima, Chairman-EWURA CCC Bonyeza hapa kupata taarifa mbalimbali yakiwemo matangazo, habari na matukio mbalimbali more »
 

Maji

Kwa matumizi bora ya maji tunaweza kusaidia kuhifadhi vyanzo vya maji kwa vizazi vijavyo. Kumbuka kila tone lina thamani. Bonyeza hapa kupata vidokezo muhimu kwa mtumiaji wa huduma ya majimore »

Petroli

Kuna njia za kufanya fedha zako kuwa na thamani zaidi kwa kila lita ya petroli utakoyonunua au kutumia. Bonyeza hapa kupata vidokezo muhimu kwa mtumiaji wa bidhaa za petroli. more »

Umeme

Utumiaji wako mzuri wa umeme ni moja ya njia za haraka za kupunguza bili yako ya nishati. Bonyeza hapa kupata vidokezo muhimu kwa mtumiaji wa huduma ya umeme more »

Nyaraka Mbalimbali

Bofya hapa kupata nyaraka mbalimbali kama vile vipeperushi, hotuba na fomu mbalimbali...more »

Wajumbe wa Baraza

Utawala

Baraza linaundwa na wajumbe wanaoteuliwa na Waziri anayehusika na Maji. Waziri anateua wajumbe wa Baraza kutoka kwenye orodha ya majina yanayotolewa kutoka miongoni mwa jumuiya ya wafanyabiashara au/na asasi inayotambuliwa kisheria kama mwakilishi kutoka sekta binafsi. Wajumbe wa Baraza walimchagua Mhandisi Prof. Jamidu Y. Katima kuwa Mwenyekiti wa Baraza. more »

Kamati za Mikoa

Utawala

Wajumbe wa kamati za Kimkoa huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu walio tayari kufanya kazi kwa misingi ya kujitolea. Tangazo la kualika maombi kutoka kwa watu wenye sifa na vigezo vilivyowekwa na Baraza hutolewa..more »

Maswali na Majibu

Bonyeza hapa kupata majibu ya maswali yaulizwayo mara kwa mara kuhusu Baraza.. more »